Fred Hammond ni moja ya waimbaji maarufu sana wa nyimbo za injili huko nchini Marekani na dunia nzima kwa ujumla.
√alizaliwa Tarehe 27.12.1960 huko Detroit Michigan.
√anajishughulisha zaidi na vocals,bass guital.
√akiwa kwenye kipindi cha Donnie Mc Clurkin alitoa maelezo ya huzuni sana jinsi mama yake alivyokiri miaka mitatu kabla ya kifo yake kuwa alitaka sana kuitoa mimba ya Fred lakini ikashindikana na hakujua angemuua mtumishi wa Mungu ambaye ameubariki umma hasa kwa nyimbo zake kama This is a day,everything na No weapon uliovuma sana.
Lengo la kumzungumzia Fred ni huu ushuhuda alioutoa kwenye account yake ya twitter na facebook..Akisema NI MUNGU tu.....
Miaka 23 iliyopita akiwa anaanza muziki hakuwa na kitu na hakuwa na msambazaji wa kazi zake kwa hiyo aliandika namba yake ya simu nyuma ya Cd zake...anasema enzi hizo walikuwa wakilala chini yeye na mkewe Kim na mwanae wa miaka miwili alikuwa akipigiwa simu sana mpaka baadaye akaset mashine iwe inajibu..
Anaukumbuka usiku mmoja akiwa amechooka simu ikaita vijana wawili wakampigia wakajitambulisha wao ni wanachuo wana miaka 17 wamekuwa wakipiga mara nyingi na wamekuwa wakifurahia kile kimashine kinavyojibu..Fred akacheka sana akasema leo ni mimi si mashine wale vijana walifurshi ..dipo Fred akawatia moyo wasome kwa bidii na kuendelea kumpenda Mungu basi vijana wale wakaendelea na maisha yao ila hawakuacha kuwa mashabiki wa Fred..
Wakiwa na miaka 40 sasa mmoja wao alikutana na Fred akamkumbusha ushuhuda huu,akamwambia tumesikia pia kuwa Fred wewe ni mgonjwa na unapaswa kufanyiwa operesheni magoti yote sasa ni hivi yule rafiki yangu mwingine ni daktari bingwa na ana clinic yake ya mazoezi.Ndiye huyo aliyemhudumia Fred na hakumchaji hata senti moja na sasa Fred anaendelea vizuri na shuhuda hii aliiandika wakati anafanya mazoezi yake...
Nataka tujifunze haya
1.tusiwatendee wema wale tu tunaowajua yakesho hatuyajui...tunaowaona hawafai leo pengine wakawa mfano wa oxygen tunayoilikia daily Mungu asitunyime..angalia sana namna unavyojibu,na kuwatendea wengine.mwenzetu angewatukana au kuwasema ovyo angeharibu reputation yake kwa jamii na hata kuufunga muujiza huu wa uponyaji.
2.wema huwa hauozi..tuendelee kuwafanyia watu wema tutavuna kwa wakati tusipozimia mioyo.Fred alipanda wema huu kwa vijana hawa wakiwa na miaka 17 na amekutana nao wakiwa na miaka 40 hebu fanya hapo mahesabu uone Mungu alivyo waajabu.
Endelea kubarikiwa na kuwa baraka kwa wengine.....
Showing posts with label Prayers and Inspirations. Show all posts

Tuesday, January 7, 2014
Monday, January 6, 2014
Yaliyojiri Jumapili hii chuo kikuu Mlimani au Udsm..
Jumapili hii tarehe tano kulikuwa na semina kabambe iliyoandaliwa na kanisa la EAGT Mlimani(chuo kikuu)..iliyolenga kuleta ukombozi kwa vijana..
kulikuwa na waimbaji kama Lugano Mwiganege,Leah Amos,The comforters na blogger Natalie Nkya nilikuwepo pia..
Waalimu wa masomo hayo alikuwa ni
1.Mwl.Philipo Sanga aliyefundisha kuongozwa na Roho na kuyajua Mapenzi ya MUNGU..
2.Mbuto Chibwaye aliyefundisha ujasiriamali na kanuni za kufanikiwa kibiblia.
3.Pastor Christopher Mlaponi aliyefundisha somo la uchumba hadi ndoa...
Semina hii iliyoandaliwa vyema ilianza saa tatu kwa praise na worship,baadaye kikundi mahiri cha kwaya ya Casfeta tawi la mlimani maarufu kama The comforters kuimba na baadaye blogger.
Baadaye mzee wa kanisaWilliam Komba akaifungua semina hii kwa maombi na hatimaye mzungumzaji wa kwanza kama nilivyopanga hapo juu akashiriki nasi kile alichokiandaa.
Baada ya semina kuisha tulipata fursa ya kushiriki chakula cha pamoja na siku ikaisha murua kabisa.
Nitajitahidi kuweka masomo yote humu hata ka muhtasi ili wapenzi wa blogu hii mpate vitu vya kuanzia mwaka si ndio enheee.
Nawapenda saaaana.

Saturday, January 4, 2014
Kuna tumaini JIPYA kila wakati na kwenye kila hali..CHEER UP..
maisha yetu hapa duniani ni kama safari unapotembea unabadili mazingira(jiografia),kuna sehemu utakuta milima na wakati mwingine mabonde,miiba na michongoma.Kwenye safari hiyo utakutana pia na majira tu kuna wakati utafurahi,utalia,utafanikiwa na kushindwa pia..
Ninajua unavyohisi
√pale unapotengwa na wengine kutokana na majira unayopitia kwenye maisha.Kuna marafiki watakupenda kwa sababu ya ulichonacho au hata mazuri uliyonayo lakini ukifika kwenye utelezi wanakuacha woote.
√pale unaposingiziwa na kuchunguzwa kwa siri na watu walioweza kuja kwako mojamoja na kupata ufafanuzi..
√pale unapoaibishwa na mtu kwa makusudi ili yeye aonekane mwema..
√pale unapowapenda watu,waheshimu ila wao wanaamua kuweka moyo na heshima yako at the bottom of their shoes.
√pale mambo yanapokwama na kurudi kwenye sifuri..huku kila mbinu unayoweka inakwama.
Napenda kukupa ukweli huu haijalishi una-feel nini THERE IS ALWAYS A HOPE...
kama utaamua kutoka ndani kuamini kuwa jua litawaka tu siku moja na haya niliyonayo yatayeyuka kuwa historia..Itakuwa hivyo
chochote unachokisafiri leo hapo kwenye maisha yako kuna walimwengu billioni wamekivuka na maisha yao yameendela mbele.
Zaburi 23:4"Naam nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,sitaogopa mabaya;Kwa maana Wewe upo pamoja nami,gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Hizo ni ahadi za Mungu kwako
1.haijalishi bonde gani huwa hatukai hapo milele ni kukutana nalo nakulipita.Uwe na moyo mkuu kila changamoto uliyonayo hukai nayo milele UNAPITA tuu.
2.hauko peke yako Bwana yuko pamoja nawe bega kwa bega and at the end of the day ndiye mfariji..
Wish you nice weeked..
victory is yours no more pain this year..
Wednesday, January 1, 2014
arise above that background and be better not bitter
Maisha haya yana mambo...
Tunapozaliwa hatujichagulii tutaishi vipi na kukutana na yapi.
kila mtu ana background yake,
√yupo aliyetoka kwenye familia ambayo ameona baba akirudi asubuhi na kumpiga au kumtukana mama na wao watoto wasisemeshwe kwa upendo au hata kuulizwa mahitaji yao.
√Yupo aliyelelewa na mzazi mmoja.kwa kuambiwa mzazi mmoja alikimbia au kufariki..
√yupo aliyezaliwa hapendwi tu pasipo hatia yoyote..
√yupo aliyetoka kwenye familia ambayo neno nakupenda,pole,hongera ni msamiati mkubwa kwa sababu hajawahi kuyasikia.
Haya na mengineyo yana madhara makubwa sana kwenye maisha yetu ikiwa mhusika hatachukua hatua ya kuyashinda ana uwezekano mkubwa wa kuathiriwa.kuna watu leo hii wamekuwa wezi,wauaji,walevi,wachoyo,wachafu,makatili kutokana na background zao..
Siifahamu background yako lakini nataka nikutie moyo upo uwezekano wa wewe kuishi maisha mazuri tofauti na hayo uliyopitia..nikiwa shule baadhi ya rafiki zangu wakike walikuwa wasafi sana na wanaofanya kazi za mikono vizuri sana mpaka leo wako hivyo lakini baada ya kukaa nao walinambia mama zao walifariki wakiwa wadogo hivyo wamejilea zaidi wenyewe na kwa mateso zaidi kutoka kwa ndugu zao.
hili jambo lilinipa funzo mimi ambaye nina wazazi wote kuwa kama hawa na background yao wamejifunza haya na wako hivi vipi mimi.
√amua binafsi kupaa juu ya background uliyonayo..
idhibiti kifikra kuwa niliteseka sawa lakini future yangu haina sababu ya kuendelea kuwa ya mateso au ya maumivu,Mimi ..... nitakuwa chachu ya mabadiliko katika familia hii na ukoo huu.
√unapopata muda kataa zile (spirit)au roho za mambo ya kale kutofuatilia maisha yako.kuna vitu vipo ni laana au vya kurithi kwenye familia na koo tulizonazo sasa bila Mungu kutoa tamko la kukomesha itaendelea hiyo hali milele na hutaweza binafsi kuihandle.
√tafuta mafundisho yanayoziba lile pengo au ufa ulionao kwenye maisha,jifunze pia kwa watu pia waliovuka kutoka kwenye background kama uliyonayo na kufanikiwa.
mfano:umetoka nyumba ambayo hautiwi moyo,haupongezwi na wewe ungependa kuwa na ndoa ambayo utawatia moyo wanao.Jitahidi kusoma vitu hivyo viishi,na eventually utashangaa mtazamo wako unabadilika.
Nimekupa mifano mingi kwenye post zangu za watu maarufu wenye background mbaya na ngumu ila waliamua kupaa juu ya background zao na hatimaye wakaishi ndoto zao na kufurahia maisha.
ninakuombea uwe na ushindi katika yote unayoamua kuyaishi..
√uliyekosa upendo wa wazazi jikumbatie jipende soma neno la Mungu utashiba pia pendo lake na kuwa chachu ya upendo kwa wengine.
√uliyekosa mzazi wa kukuelekeza kazi za mikono au ubinti ,usizubae tu tafuta jinsi ya kujifunza hata kuuliza wengine..so as you become a best mother to come.
ARISE everyone!!!your past is past and it has nothing to do with your future .maamuzi yako mikononi mwako to be better or bitter..

Tuesday, December 31, 2013
Salamu zamwaka mpya!!
U hali gani?
Natumai umeamshwa vyema na kufanikiwa kuuona mwaka mpya...
natumai pia ulimshukuru Mungu na kuandika mikakati ya mwaka huu mpya..
Salamu za mwaka mpya ni maandiko mawili tu ya Zaburi ambayo yamelenga busara kuu moja nitakayokushirikisha...
Zaburi 27:4"Neno moja nimelitaka kwa BWANA.nalo ndilo nitakalolitafuta,Nikae nyumbani mwa BWANA sikuzote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa BWANA na kutafakari hekaluni mwake..."
Zaburi 32:8"Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea;Nitakushauri,jicho langu likikutazama"
Tunauanza mwaka mpya ni vyema tumpe Mungu kipaumbele cha kutosha yeye awe yote katika yote.
Kama kuna ushauri wa bure ninaoutoa ni kusisitiza UHUSIANO mzuri na Mungu.
√ana sifa ya kuwa mshauri wa kweli-haijalishi ni eneo lipi la maisha,ukijenga uhusiano mzuri nae atakuambia mwanangu hapa sawa hapa hapana kwa nini usifanye hivi...mahusiano yako,ndoa,ajira,masomo yakisimamiwa na Mungu utakuwa ni mwenye furaha..
√ana sifa ya uongozi-atakuambia katika hii mipango uliyojiwekea anza na huu,mshirikishe fulani au una tatizo hili muone fulani atakupa neno la kukujenga na kukuimarisha na utashangaa kama mtu yule uliyeongozwa kumuona mkikutana atakupa mifano exactly na jambo lako au hata kukwambia yeye alivukaje hapo.
√Mungu ni mfariji wa kweli-hakuna kumbatio la kukupa changamko la moyo kama linalotoka kwake,nakumbuka kila ninapozidiwa na mambo ninajiachia kwake na kumwambia Mungu nikumbatie and I can feel his presence,his touch and so much more..pale faraja ya wanadamu inapofika kikomo Mungu anaingilia kati..Isaya 41:10.
Nikutakie mwanzo mwema wa mwaka.
palilia uhusiano wako na Mungu kila siku bila kukoma.
Soma neno,pata muda wa kuzungumza nae.uhusiano mzuri unajengwa kwa mawasiliano.unapowasiliana na Mungu kila mara anapata fursa ya kukuambia vitu vingi vya kukuhusu lakini unapomtafuta kwenye shida tu hainogi...
Love you all.
Tuanze na Mungu in all aspects of life..

Monday, December 30, 2013
happy new year...
as we are counting hours to end 2013.
may I take this moment thankyou for visiting this blog though we are still constructing it,Iam receveing so many feedbacks how helping it is and Iam humbled and thankyou all for a visit.
The stories of famous people you read here a purposely to inspire and encourage you that no matter what life brings on you,you can win all that you are facing and enjoy your life...
personal I set time to pray for each post I write because my dream is to impact people and those impacted get up helped and impact others too..
2014 is your year and.....
√God wants you know that He has loved you with an everlasting love,when you were in your mamaz womb He knew you and set you forth to do great things for your family and entire nation,so stop looking down on yourself.
√He wants you know that He is able to do all that your heart desires....
cast all your burdens to him for sustainnance....
dress well,eat well ,have enough rest,take care of your heart&body
Have time and read Psalms 121.
HaPpY NeW YeAr..

Get well soon.
Darlene Zschech is a well respected singer who was at Hillsongs as a worship pastor..
She was famous with the song "shout to the Lord",a song that was sang all over the world and sang before great people like the pope at vatican and the president of USA..
on 13december this year Darlene was diagnosed and found out with breast cancer..
we are wishing a quick recovery and our sincere prayers are with you..
God our healer pass her not...

Sunday, December 29, 2013
dawa ya moto NI MAJI si moto..
At times people wrong you too much and you think the only option is to fight back .....
At times words spoken about you hurt too much and you think the only option is to speak back....
At times people do much drama before you and treat you like a fool untill you think I too know drama let me play too.
Darling sisy and brother reading this post!"""""
maisha hayaendii hivyo si kila dawa ya moto ni moto,kwa mtu uliyelelewa vyema na unamjua Mungu dawa ya moto ni maji..
was seating somewhere nikakumbuka usemi huu "mgonjwa wa akili akikupora nguo zako na kukimbia wewe mwenye nguo chuchumaa,ukimfukuzia nyuma uchi watu watakushangaa na kukuona wewe mwehu pia."life attaches us with different people,holding personalities that bring conflicts.but what do you do???
Silence is the best ship home...sometimes people will hurt you purposely so as you expose yourself in what they don't know about you so as they keep talking and talking of you.
Be smart to ignore them and identify the schemes of the devil,satan uses people and if you are not wise enough you will bang into quarells and remove your profile and Holy spirit presence in yo life....
√use that energy for fighting back into important goals of your life.Instead of attaking them back lock youself kwenye mipango ya maendeleo.
√spend time in prayers and reading the word of God this will help you heal inside,will teach you how to behave during offence and false accusations especially Romans 12.
it is never easy lakini itakusaidia..
God will pour so many blessings as he pionners peace and love amongst people..
zipping your mouth and folding your hands off mouth and hands wars is what potrays good character hata kama umetendewa mabaya yaliyojaa pipa na kuuma kama maumivu ya tindikali...
kunyamaza ni jibu....

Saturday, December 28, 2013
dear cheer up!!
I wanna talk to someone!
who has reached to a point of giving up because of anything....just to remind you
°your birth was never an accident....
°you have something to do for your family,self and nation at large..we love you and expect alot from you dear..
°life is never fair,you will experience alot and alot,what you are crying for today will be a history.And you will forget all,be strong and face it with faith that GOD will bring you through...
°crying is never bad,shed all your tears but make sure you get up stronger and stand tall.
You will overcome.......

Monday, December 23, 2013
Forward we gooooo!no turning back
As we are counting days to end this year...Iam sure you have experienced different seasons of life,there were days you laughed and days you cried and felt like it is over for me and i better die...
Lets take 2014 as a year to learn from what 2013 taught us and much more live a life of hope,focus and achievements.
With God there are no mountains hard to move.. √whatever made you cry will never come near you.
√whatever took your attention and left you morally distructed or spiritually backward will never follow you again.
√whatever words of criticism,gossip and hearttorning you heard will never discourage you again rather be a catalyst to make you a stronger person and move you to the line of achievers..
You have all it takes to be happy,succeed and live to your Godly given purpose.
Jipende,jikubali,jithamini,jitunze kimavazi,kimlo na vyovyote unavyoweza this is your life!kikubwa usimkosee Mungu na kuwa kero kwa wanadamu wenzio....
Wish you maandalizi mema ya Christmass na Mwaka mpya.
Love you and praying for you!

Monday, December 16, 2013
God can turn trash into treasure!!
Paula White ni mwanamama role model ambaye analitumia neno la Mungu ipasavyo kurudisha nuru na mwanga kwa maisha ya watu pasipo kujali hali zao.
√Paula amezaliwa 20.4.1966 huko Tupello USA.
√Paula ni mchungaji,mwalimu,mwandishi na vitu vingi.
√Paula ni mama wa mtoto mmoja kwenye ndoa yake iliyodumu kwa muda na kukatishwa ghafla.
Akiwa na miaka mitano baba yake mzazi alifariki hivyo kuwaacha kwenye malezi magumu yaliyojaa umasikini mkuu baada ya muda iliwalazimu kuhama walipokuwa wakiishi na mamayao,hapo matatizo ndio yalipoanza alipatwa na udhalilishaji wa kingono akiwa shule,akaja kupata ndoa ya utotoni ambayo haikudumu ilikuwa ni mwaka 1984.
Anasema alikuwa kwenye maumivu sana(betrayal,confussion,abandonment)mpaka siku moja akiwa na miaka 18 alipokwenda kanisani akakutana na wokovu,siku moja aliinua biblia juu akasema"God I don't know you and i don't know even myself but i know the answers are in this book"baada ya ukiri huu akanza kumtumikia Mungu.
√Mwaka 1990-2007 aliolewa tena na Randy mwanaume huyu ambaye pia ni mtumishi wa Mungu hawakudumu kutokana na vitendo vya kinyanyasiaji alivyomfanyia anakumbuka wakati mmoja Randy alimfunga kitambaa usoni na kumfungia kwenye chumba chenye giza bila msaada kwa masaa kadhaa.
hayo yakiwa yanaendelea rafiki yake aliyempenda sana akabambikiwa kesi na kufungwa jela.
kidogo tena mwanae wa kiume akaathirika na madawa ya kulevya na kufanyiwa udhalilishaji wa kingono na mmoja wa wafanyakazi wake wakiume hapo ofisini.
hakukaa sawa binti wa mumewe Randy akafariki kwa brain cancer wakiwa tayari wamedivorce.
wakati hayo hayajaisha akaingia kwenye kashfa ya kudaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Benny Hinny anasema alikuwa na wakati mgumu sana lakini alikataa kukata tamaa na kumuishia Mungu akiamini shetani alikuwa akipiga vita huduma yake.
Unaweza kujiuliza amewezaje kuwa na ujasiri licha ya majaribu yote haya??i dont know what your facing but dont give up Yohana 16:33 Yesu anasema duniani mnayo dhiki lakini jipeni moyo nimeushinda ulimwengu.
Nimeshare nawe story hii kukutia moyo haijalishi unapita kwenye gumu gani linda kile Mungu amekiweka ndani yako.unaweza kuumia lakini kila tatizo lina death date yake...endelea kumpenda Mungu hayo yote yatapita kama moshi...

Sunday, December 15, 2013
Lets pray!
Ni matumaini yangu hujambo sana na unaendelea vyema katika kila eneo la maisha.
leo tutakwenda kuomba kwa ajili ya mahitaji mawili.
1.Tumshukuru Mungu kwa uaminifu wake kwetu kwa mwaka mzima,tuendelee kuomba ulinzi wake kwetu,familia zetu na ndugu jamaa na marafiki zetu ,tukikataa vifo vya ghafla na ajali hasa zinazotokea mwisho wa mwaka.Malaika wa Bwana wakafanye kituo kwetu kutulinda na mitego au hila zozote za adui.
2.Tamka neno juu ya kina mama wajawazito,wapo wanaopata matatizo ya kuharibika kwa mimba,wengine cases zao zinawaweka rehani kati ya yeye na mtoto,tukatae kila makusudi ya siri ya shetani ya
a kutaka kuua watoto ambao wangekuwa lulu ya taifa hili na kanisa kwa ujumla.Tamka uzima,afya kwa kina mama hawa.
#LUKA 1:37-"kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu".
Mungu akubariki kwa kushiriki maombi haya...

Saturday, December 14, 2013
Oblation day!!
On sunday me and family had to thank God for restoring my health after a year of my accident and un-ending sicknesses.
guided with this verse(psalms66:18-19)"If i had cherished iniquity in my heart ,the Lord would not have listened.but truely God has listened.he has attended to the voice of my prayer."
LORD thankyou for loving parents and siblings.am recovering fast due to their unconditional LOVE wape maisha marefu watu hawa.
![]() |
| dad,me&mamy! |
Thanks be to you dear mam n dad,your tears and prayers are never in vain,nitapona and i will be as how i was,GOD has a reason for everything.
I remember those monthes when i couldnot sleep but you people stayed awake untill I sleep.When you were telling me GOD wants me Say THANKYOU even in the darkest hour Iam into.
cant forget when my colour was changing,eyes turning white and was screaming "dad Iam about to die and your telling me Thank God never"!!!
but you and mum gave me time to rethink and when Iam ready tell you.
oooh haleluyaaaaah I Remember waking up and write in my note book and praying with you thanking God for my accident,my paralysis and postination of my final year at university,cried but after a month everything changed...

√..was healthier..
√...traveled here and there for ministry.
√....got a well paying job.
√..started my blog,album of my songs,writting books.Isn't GOD beautifull,worthy to be trusted...Santee YESU kwa kunipa zawadi hii ya uhai.Its not about me rather your will!!!!
![]() |
| dad,young bro Godlove &mamie To GOD be the glory,I will keep the fire burning!!! |
Monday, December 9, 2013
You are a cause everywhere GOD places you!!
Tarehe 11Disemba ni siku ambayo hunipa faraja na kuniongezea nguvu kuendelea kupambana na kumpenda na kumtumikia MUNGU na wanadamu wenzangu.
Ilikuwa usiku wa kuamkia tarehe 11,nikiwa natoka maombi ya fellowship rafiki yangu akaniSMS kuwa tuna presentation darasani ningependa part ipi maana tulikuwa group la watu kama kumi na tano hivi,nikamjibu nipeni tu Conclusion,akasema hayatukutane kesho.Nikiwa njiani nikasikia ndani ya moyo wangu sauti "Natalie kaandae presentation nzima hujui kesho nini kitatokea"hapo ni saa 6usiku nimechoka sana.
Nilitii nikaandaa then nikalala
asubuhi ya presentation ilifika cha ajabu mwalimu yule hakuwa mwenye ukali,, ila siku hiyo alikuwa mkali sana alipotuona alifoka tu akatuchallenge tulivyo na baadaye akasema hebu anzeni presentation,tukaanza ghafla akahamaki"hiki kikundi hakipo serious na nitawapa ziro"
kusikia vile mwe nilichoka nikawa naomba moyoni nikasema"Mungu kwa hiyo ulivosema niandae summary kama mnavyoiona hapo juu kwenye picha ilikuwa ya nini?,na hiki chumba cha presentation mimi nilikuwa kiongozi for two years kwahiyo ndio unaniaibishia hapa?na hii ziro ndo ya kwangu mlokole mzima kati ya darasa hili la watu mia 2?
baada ya pale nilimsogelea Mwalimu nikamwambia nitapresent kwa niaba ya watu woote hawa,akaniangalia juu mpaka chini nikamwambia "ndio mimi nitafanya hivyo."
nikaanza kufanya kabla sijamaliza akanikatisha"wewe ulikuwa wapi,umesoma wapi maana toka naanza kazi,sijasikia presentation nzuri kama hii YOU ARE THE BEst student of this year for the course and an exempler student "you are smart,intelligent na masifa kibaoo.moyoni mwangu nilinyamaza nikajua ni MUNGU wa kuchukua sifa hizi zote so nilinyamaza akasema tena kwa hili nitaondoa ziro nitawapa B+ na mnapoleta kazi mmtaje huyu binti niongeze zaidi.
The class was over wenzangu wakaja kunishukuru and was telling them guys its not me it is GOD kila mtu akamshukuru Mungu!! I never did it I was just a vessel.
Ninambariki Mungu wale rafiki woote ni graduates now but huniambia Natalie utabaki mioyoni mwetu for your kind deed.
Siisahau siku hii kwakuwa moyoni mwangu napenda kusaidia wengine kwa presence yangu kwenye maisha yao,ili nao wafurahi na kumuona Mungu kupitia mimi so nilifarijika kujua Mungu yupo kazini nami masaa 24,kila nikikumbuka hili nalia kwa furaha na kumhofu Mungu, na hunitia nguvu sana kuishi kwa ajili ya wengine..
Funzo ni:
√kwa eneo lolote ulilopo wewe ni balozi wa Mungu kuna jambo unapaswa kufanya kwa wengine.
√ikiwa ni kazini ,shuleni hauko hapo tu kama upo ila kuna jambo zaidi ya hilo.Mungu akusaidie ulifanye.
I Glorify GOD kwa hili utukufu wooote auchukue yeye mimi nitaendelea kushuka chini illi yeye ainuliwe juuuu.
Subscribe to:
Posts (Atom)

.jpg)