Sunday, September 21, 2014
Kwanini kuhairisha ikiwa unaweza kufanya
Namshukuru Mungu ambaye anatutunza na kutulinda,asante kwako pia kwa kubofya kwenye blogu hii..Pengine hata hatufahamiani lakini jua tu vile nakupenda..nakuheshimu na kukushukuru kupita humu.
Leo ni mwanzo wa wiki na karibia na ukingoni mwa mwezi hata mwaka pia,naelewa hakuna asiyeishi bila ya kuwa na mipango sasa hiyo ambayo hukufanikisha unajua ni nini kikwazo??
√KUHAIRISHA au postponing kwa kidhungu hali ya kulisukuma jambo mbele pengine kwa hofu tu ya kushindwa,woga binafsi wa kuliona likisimama,nk.
Kati ya watu waliokua na haka ka hali nilikuwepo..Napenda mnoooo kuandika kama sijatembea na notebook, nitaandika kwa notebook ya simu yangu mipango yangu yoote baada ya hapo nawaambia familia yangu..Ikawa inapita muda sijafanya na sioni kilichofanya nisifanye zaidi ya kulisukumia mbele.Namshukuru mnoo mama yangu Emma used to challenge me a lot na wadogo zangu walinikumbusha every time Natalie you're too gifted why so many tomorrow's basi niliposema yatosha no more bla bla here we're now..Even when God will think of having me home most of my dreams and plans are successful na bado najifunza kutohairisha chochote..
Rafiki mpenzi Mungu anatupa sote masaa 24,,ikiwa wenzetu wanayatumia hayo hayo paap bila ya nyongeza na kufanikiwa kwanini mie na wewe tutake 48/72wakati wao watakua wamefaidi mara nne au tatu zaidi..
Wakati mwingine umepata pesa unataka kuzifanyia jambo..unatumia weee then unasema utapata nyingine....
Lets be wise in all we have and what we do like there is no next time..While finishing this let me inspire you.when I was young while getting dressed or combed my hair with mum she will say "Natalie if yoi get a chance at class to say something do it untill you're asked again next time or if its at church prepare well do it good and you will see them giving chances every now and then"ha ha that's my life anthem you too can have that too..UKIPATA FURSA ITUMIE USIHAIRISHE..SOMETIMES THE ONLY TIME IS NOW NOT NEXT TIME
wish you best of lucky in all we do.. God is with us to make us shine and sweep away our fear..
Goooo and shine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment