leo tutakwenda kuomba kwa ajili ya mahitaji mawili.
1.Tumshukuru Mungu kwa uaminifu wake kwetu kwa mwaka mzima,tuendelee kuomba ulinzi wake kwetu,familia zetu na ndugu jamaa na marafiki zetu ,tukikataa vifo vya ghafla na ajali hasa zinazotokea mwisho wa mwaka.Malaika wa Bwana wakafanye kituo kwetu kutulinda na mitego au hila zozote za adui.
2.Tamka neno juu ya kina mama wajawazito,wapo wanaopata matatizo ya kuharibika kwa mimba,wengine cases zao zinawaweka rehani kati ya yeye na mtoto,tukatae kila makusudi ya siri ya shetani ya
a kutaka kuua watoto ambao wangekuwa lulu ya taifa hili na kanisa kwa ujumla.Tamka uzima,afya kwa kina mama hawa.
#LUKA 1:37-"kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu".
Mungu akubariki kwa kushiriki maombi haya...
No comments:
Post a Comment