JIFUNZE KUSEMA HAPANA
●Siwezi kusema hapana maana nitawaangusha na watanifikiria vibaya.
●Siwezi kusema hapana maana sipendi wajisikie vibaya na kukereka.
●Siwezi kusema hapana sitakwenda maana nitawaangusha na nitaonekana mbaya.

Haya ni baadhi ya mambo ambayo huwa tunayawaza tunapokutana na mambo yanayohitaji NDIYO/HAPANA ila jibu sahihi lilipaswa liwe HAPANA ila tutachagua NDIYO ili tusionekane wabaya tusio na utu nk.Swali ni jee?Hiyo ndio imekuacha kwenye hali gani nafsini mwako..unajisikiaje kuwa PEOPLE PLEASER huku ukijiacha umedhulumika kihisia na kipenzi lako binafsi?
Unapoona kila wakati una ufahamu wa kufanya jambo kwa ajili ya wengine na kujiacha pembeni,hujitendei haki kihisia na kifikra,pia unajipunja penzi lako na kujidanganya haswaa.
Ni sawa kuwa mwema na wa upendo kwa wengine,ni tendo la ukarimu na zuri ajabu na pengine linafaa mno kwenye kujenga mahusiano na urafiki LAKINI SI KILA WAKATI.
Na hata unapofanya isiwe kwa kumfurahisha mtu huku ndani ya moyo unakua unaungua na kujilaumu kuwa ningejua ningejua.
Na hata unapofanya isiwe kwa kumfurahisha mtu huku ndani ya moyo unakua unaungua na kujilaumu kuwa ningejua ningejua.
★Si ubinafsi kuweka mahitaji yako na hisia zako mbele
★Fanya kile kinachokupa furaha,raha na kuuacha moyo wako bila kukunjamana.
★Fanya kile kinachokupa furaha,raha na kuuacha moyo wako bila kukunjamana.
Unaweza kujihukumu kuwa pengine nitaonekana ni mwenye roho mbaya,si mkarimu
Jua jambo hili "huwezi kutoa usichonacho"
◆ikiwa ndani mwako hakuna upendo binafsi wa kukutosha utaupata wapi wa kumpa mwingine?
◆ikiwa ndani mwako hakuna furaha ya kweli utaipata wapi ya kuiacha kwenye maisha ya mwingine?

Nilijifunza hili kupitia kwa mume wangu.Nilikuwa na kitu ninachokipenda saana na mtu akakipenda hicho hicho,na nilipaswa kujibu ndio au hapana alipokuja kuhitaji.. nilizunguka nawazaa baadaye Nikamwambia mume wangu kipenzi nina hili na hili nifanyeje?akanipa ushauri na baadaye nikafanya maamuzi yaliyoniweka huru nakunipa kitu cha kushea na wewe leo.
Jifunze kusema hapana. .usidhulumu nafsi yako..
♥♡♡♥Live unapologetically. .
Hapana yako iwe hapana hata kama utaisema huku unatetemeka..
♥♡♡♥Live unapologetically. .
Hapana yako iwe hapana hata kama utaisema huku unatetemeka..
Natalie Nkya, 2015
No comments:
Post a Comment