Isaiah 43:4 AMP
"Because you are precious in My sight and honored, and because I love you, I will give men in return for you and peoples in exchange for your life."
Hiyo ni ahadi ya Mungu kwetu juu ya maisha yetu. .
○Anatupenda
○Sisi tu wa thamani machoni pake.
○Anatuahidi kutupa watu kwa ajili yetu..woow♡♡♡♡.
Kuna wakati tunasumbuka kumbe tunapaswa kumkumbusha Mungu ili atukutanishe na watu aliowaandaa kwa ajili ya maisha yetu..
Right connections. .channels.networks.opportunities etc.Kuna mambo hayatutaki tutoke jasho ila kuruhusu tu Mungu ayaachilie baraka yake ili yawe.
Hujawahi pita kwenye jambo kila unapolifanya halisogei,unaweka kila mbinu hamna linalotokea... ***ila unakutana na mtu au watu kwa dakika chache linafanikiwa??**
Enhee namna hiyo ndivyo Mungu kuna wakati anapanga mambo yawe..
Mungu akukutanishe na watu sahihi..watakaorahisisha mafanikio yako..
Kusiwe tena na mlolongo,ucheleweshaji nk.wasiwe wa kukuvunja moyo au kukurudisha nyuma wawe ni WATU SAHIHI kwenye ndoto zako,mipango na maisha yako kwa ujumla..
Mungu anakupenda..anakuthamini na kukuwazia mema kila iitwapo leo..muombe tu akukutanishe na watu SAHIHI.
Natalie Nkya,2015
No comments:
Post a Comment