Tuesday, November 4, 2014

Fall in love when it's time&with your eyes open

Helo beautiful ladies..natumai mko poa,,kuna jambo nililitambulisha LADIESZONE ambapo unaweza kujiunga kwakuni-inbox namba yako ya simu kwenye acc.yangu fb(NATALIE NKYA)ili upate fursa ya kupata masomo kadha wa kadha yanayotuhusu. Leo naomba tukumbushane hili;-

Being single is not a sin or a punishment.
Nilikaa mahali na wadada tukawa na stori za hapa na pale, Dada mmoja wa makamo akawa anatupa ushauri ”wadogo zangu ni kweli inauma kutopata kijana wa kiume anayekufukuzia hasa pale wale waliokuzunguka wanakuwa na wapenzi na wengine unasikia wameolewa ila wewe bado, Nivizuri kutulia tu nakuendelea kuwa mwaminifu huku ukimwomba Mungu,akaendelea kutupa ushuhuda wake binafsi kuwa alisoma akapata kazi nzuri lakini hakukuwa na mwanaume hata mmoja anayetangaza nia/hatakumtania anampenda,kile kitu kilikuwa kinamuumiza sana alifika pahali pakuona kama ana mikosi.Akaamua kufunga safari kwenda mahali kwa mtumishi wa Mungu waombe pamoja maana umri ulikua unakimbia.Walipoomba tu baada ya muda msururu ukaanza mpaka akachanganyiwa hajui kyupi, mtumishi wa Mungu akamshauri arejee nyuma alitaka mtuyupi?sasa sijui ni uhitaji akalisahau hilo.Basi kati ya wanaume waliokua kwenye list alikuwepo kijana mmoja akamshawishi mpaka wakafanya tendo la ndoa,siku ya kwenda kupima VVU akakutwa ni muathirika.Binti alichanganyikiwa sana na kaka akatokomea asitangaze ndoa wala nini..Mpaka anaongea nasi alikua amekata tamaa mnoo. Binti mwenzangu kama unapita kwenye kipindi cha u-single naomba kukutia moyo kwamba wakati upo ambapo utapata wakufanana nawe.CHA MUHIMU NI HUU WAKATI WAKUSUBIRI …shetani atakujaribu lakini uwe mwaminifu.

*Furahia maishayako,fanya yote yanayokupa furaha,ishi ndoto zako.

 *Jitunze.
*Jipange na jiandae na maisha yako ya sasa na baadaye. Ninakuombea…You will pass this stage successful and your tears will turn intoJOY

No comments:

Post a Comment