Wednesday, October 29, 2014

If you wanna succeed..be thankful and never give up easily

Uuh..Muda unakimbia enhee.,Sijui ni kwangu tu au na wewe pia rafiki..Novemba hiyoo yanukia tuumalize mwaka..
√Vipi mipango yako ya mwaka huu?imefikia wapi kama ilikwama au kugonga mwamba USIJALI muda bado unaruhusu kubali kupitwa ila muda usikuache..
Katika vitu navyopenda maishani mwangu ni kuwa na furaha as napenda kucheka saana..whenever Iam happy I remember something so sweet basi nafurahi mwenyewe na kumshukuru Mungu as I long being the happiest woman forever..

 √Nina vingi vinavyonifurahisha lakini hivi viwili vimeniongezea kujituma saaana na kumpenda Mungu saana..Hope na wewe una mambo yanayokufurahisha eti enhee..CHERISH THEM..WALK MAJESTICALLY WITH THEM..LOOK ABOVE AND SMILE BACK TO GOD..AND GIVE HIM A HIGH FIVE..
1.One day I dreamt of something so powerfull..nkajisemea Mungu naomba nikiamka hiki kitu kiwe kweli..uuuuw when Morning came ikawa kweli.Was excited and my faith was uplifted moe to to date..
2.Wakati naanza blog niliandika makala ya Malala binti wa kipakistani aliyejipatia tuzo za Nobel kwa ujasiri wake  kutetea wanawake na elimu mpaka kikundi cha Taliban kikataka kumuua....It was  a  simple article but took me to places I never thought.. Being interviewed with East Africa radio on women's day plus writing my articles at Daily News through women magazine kept me in awe..everytime I look back feel like jumping to heaven and kiss God..but am sure He sees my thankful heart(asante Mungu once more)

*******Hard work pays**usijikatie tamaa maishano**jikubali**jitume**jiamini**Mtegemee Mungu..

Love y'all

No comments:

Post a Comment