Hello rafiki...natumai u mzima uliyejawa matumaini..Mungu bado ana kusudi nasi ndio maana ametupa zawadi hii ya uhai.Tuitumie kwa shukrani..
Leo nizungumze na rafiki yangu wewe hapo ambaye kila ukikutana na kukosolewa au kuvunjwa moyo unalegea na kujikatia tamaa kabisa..
Kwenye pitapita zangu vitabuni na hata kwenye Biblia nikajifunza hili sometimes YOU MUST DO IT for those who wanted you FAIL..
Nikipekua maisha yetu ya kila leo nitagundua maoni ya watu wa karibu/mbali juu ya masuala yetu ya maisha,yanaweza kutujenga au kutubomoa LAKINI pia hutegemea vile tumepokea kama Destructive/ constructive.
√Ikiwa wapo waliokubeza kuwa hamna kitu hapa,au kukwambia haufiki popote..Usipanic au kuchoka..kama binadamu kuumia utaumia lakini jipe moyo..inuka fanya yale unayotamani kufanya bila hofu ya kushindwa au ya wale waliokubeza.
√Unaweza kubezwa leo labda kutokana na hali yako duni ya maisha nk..Lakini unaweza kuchukua mabezo yao kama foundation ya kujituma ma hatimaye kuwa mtu mwenye hali njema,usijikumbatie tu kinyonge na kukubali hali hiyo.
Go do it ..prove them all wrong..
You're a star..

No comments:
Post a Comment