Thursday, April 17, 2014

Utukufu kwa Mungu..!

Haleluyah..!
Nina furaha sana tarehe  15Mei..Nitatimiza mwaka wa blogu hii ninaona kuheshimiwa na Mungu hasa kwa matunda yanayotokana na kazi hii.
√Wapo waliompa Yesu maisha yao kupitia huku...
√Wapo wanaobadilishwa kimtazamo na kukua kutokanana mafundisho haya...
Siri ya kuyafanikisha haya ni kufanya hili kwa mapenzi ya dhati na kutafuta maongozi ya Mungu hasa napenda andiko la Yakobo 1:5 limenipa kutokata tamaa na kuzidi kufanya hiki..!Japo ni mwanzo namshukuru Mungu kwa hatua hii...
Mungu azidi kukubariki kwa kuwa sehemu ya baraka hizi..
Nakupenda na kukuombea..!
Blessings on your way..
When we are blessed its a journey to be a blessing...

No comments:

Post a Comment