Wednesday, November 13, 2013

Tunapoadhimisha siku ya kisukari duniani,tunajifunza nini?

Novemba14 ni siku ambayo dunia nzima huadhimisha Siku ya kisukari.Ni Siku ambayo alizaliwa Frederick Bating na ikawa pia Siku ambayo rafikiye aitwae Charles Bert aligundua dawa ya INSULINI  mwaka 1921 ambayo ilitibu ugonjwa huu wa kisukari.
Baada ya dawa hii kupatikana umoja wa wagonjwa wa kisukari (IDF) na shirika LA afya duniani(WHO)1991wakaamua kwa pamoja kuukubali kuwa ugonjwa huo upo na wakaandaa kampeni mbalimbali za kuelimisha jamii jinsi ya kuzuia au kutibu.....

••♪Dr. Clement Makule wa Mt.Meru hospital aliuelezea kuwa"kisukari ni ugonjwa sugu ambao husababishwa na kongosho LA ndani ya tumbo kushindwa kutoa insulini.

chanzo cha kisukari:
√kula sana vyakula vya wanga na mafuta.
√mwili kukosa mazoezi ya kutosha.

aina za kisukari;
1*hiki ni Kile cha kuzaliwa nacho,Mara nyingi huwapata watoto wadogo na watu wazima we ye umri mdogo.Bahati mbaya huu hautibiki.
2*aina hivi hutokea ukubwani,na Mara nyingi huwa ni wa kurithi,ukosefu wa mazoezi na pia vyakula vya wanga na mafuta vikiliwa kwa wing I huleta kisukari hilo type 2.
3* hilo huwapata sana kinamama wajawazito na hupona pale anapojifungua though anaweza akapata tena anaposhika mimba nyingine

dalili:
~kwenda haja ndogo Mara kwa mara.
~kupata kiu Kali ya Maji.
 ~kuchoka Mara kwa Mara.
~kupatwa majipu,fangasi ukeni.




#Tanzania kwa mujibu wa takwimu ni kila dakika 1watu 6 hufa kwa kisukari na kila mwaka watu million 3.8 hufa
#tushikamane tuhamasishane kufanya mazoezi,kuacha kuvuta sigara.kwani gharama zakuchoma sindano za insulin  ziko juu sana kwa hospitali za serikali sindano moja ni sh.elf 15 wakati private ni elf 25.
#tuwatie moyo wenzetu wanapopewa tiba ya lishe wajitahidi mpaka iishe ili wapone kabisa.


source: Clouds FM &Tanzania daima

No comments:

Post a Comment