Kama kuna jambo tunalisahau kulilinda ni afya ya ufahamu wetu.Ni rahisi Mtu kusikia maumivu ya tumbo na kutafuta suluhu ya tatizo,lakini maana ya afya si ya mwili pekee ina involve pia our mindset wellbeing, Mara nyingi vitu vinavyogusa ufahamu wetu huusumbua sana maisha yetu. ndio maana utasikia mambo kama huyu ana stress, depression, psychological problems n.k,,,haya yote yanatibika.
Leo tutaangalia manufaa ya muziki kama Dawa,1Samweli 16:14 inaelezea mfalme Sauli ambaye stress zilimwandama ikabidi atafutiwe mpiga kinubi ili awe anam-calm down,pale mambo yanapomzidi na kweli Saudi alikuwa akikipiga tu Mfalme anakuwa sawa.
FAIDA ZA MUZIKI!!!
√muziki huondoa maumivu.
√muziki unatibu msongo wa mawazo a kuiacha akili ipate pumziko, kwani unaweza kuliondoa wazo ulilonalo na kukuacha umechangamka(Yakobo 5:13b).
√muziki una nguvu ya kusawazisha mapigo yako ya moyo na kukupa fahamu tulivu.
√muziki hukupa fursa ya kutoa hisia zako nje zaweza kuwa ni kilio au kicheko na baada ya hapo lazima kuna badiliko unaliona kwako
Nitumie wimbo wako wa dini unaoupenda sana,kwenye # 0718664741,halafu ntauweka hapa tusikize na kumuinua Mungu pamoja....
Much love.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment