Friday, November 8, 2013

Endelea kumwamini Mungu,!!!!!!!

Hata kama Mungu angekueleza kwanini unakutana na jaribu ulilonalo bado usingemwelewa.Tunapaswa kumwamini Mungu Siku zote hata pale macho yetu yanapotokwa na machozi,au mioyo yetu kuugua kwa maumivu.
Wakati Fulani nilikuwa nikiitika kwa nguvu salamu hii "GOD is good" na kiitikio kilikuwa "all the time",inaweza kumaanisha asubuhi,mchana na jioni kwa maana ya time,lakini kwetu wakristo "ALL the time" imaanishe hata wakati wa majaribu,huzuni bado God must be good.na nilijua baada ya changamoto kadha wa kadha nikajiuliza kwani all the time niliyokua naisema ikwapi?


  • Jifunze vitu hivi vitakusaidia pale unapopitia jaribu au mtihani wowote,pengine kuhoji kwako kukaongeza machungu  na kukuondolea ujasiri wa kupambana nalo,jifunze haya;

Lipokee kwa moyo wa shukrani, weka kichwani  na moyoni kitu hiki kwamba Mungu hayuko kinyume nawe ,daima anajishughulisha kwa ajili yako(Yeremia29:11)anajua mwisho na mwanzo wa maisha yetu hivyo unalopitia analielewa fika.He is working for you and He is never against you!!!!.

Tafuta kuyajua makusudi ya Mungu juu ya jambo hilo, kama ameruhusu kukupima imani,kukusahihisha mwenendo wako, au kukuandaa kwa kuwa utumishi ulio mbele yako.ni vizuri kuwa na faragha binafsi na Mungu ili umsikie na uzuie kurudi kwenye mtihani mara mbili si unajua gharama ya kujibu mtihani nje ya concentration area ya mwalimu,maana itakubidi uurudie mpaka uendane na marking scheme ya mwalimu.hakikisha unapata muda na nafasi hiyo na Mungu na wewe ili isirudie pito.

##jua kwamba kila linalotutokea maishani lina sababu na mwenye kuzijua ni MUNGu pekeyake,hivyo kuna mambo tutapitia ili kurudi kwenye mstari aliotaka tuupitie muda mrefu ila sisi tunakuwa tulichepuka kando.###

Ninakuombea kwa hilo unalopitia upate mlango wa kutokea,endelea mbele biblia inasema"we may stumble but we will NEVER FALL endelea mbele kwani mbele ndiyo sehemu yako...
..

2 comments:

  1. Thank God for looking beyond faults to our heart. "Every way of a man is right in his own eyes: but the LORD pondereth the hearts." Proverbs 21:2

    "'Consecrate yourselves and be holy, because I am the lord your God.Keep my decrees and follow them. I am the lord, who makes you holy. - Leviticus 20:7-8

    ReplyDelete
  2. Wow.power full scriptures. bless you.

    ReplyDelete