Saturday, October 12, 2013

Usichoke kumuomba MUNGU rafiki!!!!!!

maombi-ni maneno anayosema mtu kwa MUNGU......
kuomba- ni kitendo cha kuzungumza na MUNGU kuulizia msaada au kutoa shukrani... japo kibinadamu tunakwenda zaidi kuulizia msaada.

















Maombi huusisha pande mbili
 1.MUNGU- ambaye anasikia au kuletewa mahitaji na anayetegemewa zaidi kiutendaji
2.MUOMBAJI-mhusika anayepeleka mahitaji yake kwa MUNGU.
Tukisoma=>YOHANA 16:24"hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu;ombeni nanyi mtapata,furaha yenu iwe timilifu"
ni maneno ya YESU yanayotupa mwaaliko maalumu,zaidi yanaonyesha wazi kuwa anapotuangalia anatuhurumia hasa tunapooona tumeomba wakati yeye anatuona bado tuna mizigo na pengine hata furaha tuliyo nayo si timilifu.,,uzuri wa maombi hufanywa popote pale ndiyo maana ukipitia vitabu hivi utajifunza jambo Matendo 4:23,Mathayo 26:36...
Tunaishi kipindi ambacho mambo yetu mengi yanawezekana kwa kumuomba MUNGU kupata jawabu au hata wazo la jinsi ya kufanikisha jambo lako...wapo wanaohitaji kuponywa magonjwa,ufumbuzi wa ndoa au mahusiano yao,ajira ,familia n.k,hivyo waweza tumia mwaliko huu kama aliosema wa kuomba,upate na furaha yako iwe timilifu..
Pengine ukimwambia MUNGU kwa njia ya mombi utapata jibu na maisha yako yatajawa furaha

 .......FAIDA ZA MAOMBI NI.....


  1. Kupata jawabu ya lile linalokusonga  kwa sababu yupo wa kufanyia kazi hitaji lako 24/7 na kukupa jawabu sahihi kabisaaa..(YOHANA 14:13)
  2. Maombi ni akiba,kwani kuna nyakati tunasongwa na magumu na ni mara chache sana waweza kutamka kitu,,hivyo yale unayokuwa umeyataja siku za nyuma yanasimama kukutetea,ndiyo maana Daudi katika  Zaburi akasema..kila mtauwa na aombe maadamu unapopatikana....
  3. Hutupa furaha kamili,ndiyo maana kabla ya kupata majibu au kile unachotaka moyo unaumia,unakosa raha,unajawa mashaka,,vipi pale unapojibiwa..unatabasamu sana(YOHANA 16:24)






......baada ya somo hili nenda kwa MUNGU leo ukamwambie yale mahitaji yako ambayo kila ikitembea unayaona mbele yako nayamekuwa chanzo kikuu cha wewe kukosa furaha na hata kujikatia tamaa kabisa...na kutia moyo MUNGU anakusubiri useme ili naye atende kwa ukuu..todat heaven has arranged chairs for you to talk to your dad and tell HIMatakufuta machozi na kufanya exactly na your heart desire!!!!
.......go...go and do it........

No comments:

Post a Comment