Na wataalamu wanashauri zaidi matumizi ya choo cha kukuchuchumaaa.kwani utumbo huwa umenyooka na hivyo kinyesi hutoka chote.
wanasema vyoo vya kukaa si vibaya ila tu hufanya kinyesi kibaki kwenye utumbo kwani utumbo hukunjwa kutokana na mkao.
“When we’re sitting this bend, called the anorectic angle, is kinked which puts upward pressure on the rectum and keeps the feces inside. This creates the need to STRAIN in order to eliminate. Compare sitting on the toilet to a kinked garden hose, it just doesn’t work properly. In a squatting posture the bend straightens out and defecation becomes easier.
=>Zipo athari zinazotokana na kinyesi kinapobaki kwenye utumbo au kinpotoka kwa kubanwa hasa kinapotumika choo cha kukaa hupelekea mtu kuugua ugonjwa wa HEMORROID=>. Hemorrhoids are inflamed anal varicose veins that have swollen because of our need to push excessively to get those hard stools to pass. And as bad as hemorrhoids are, they aren’t the worst of our potential problems.
wataalamu wanasema choo cha kukuchumaa kimepewa kipaumbele kwa vile haja hutoka yote kutokana na msukumo unaotokana na mkao huo....
>kazi kwetu sasa,jitahidi angalau kila asubuhi upate glass 2 za maji ya uvuguvugu utakaorahisisha zoezi na kula matunda yatakayokufanya upate choo na kiwe kile laini ili uwe mbali na madhara ya hemorroid....
No comments:
Post a Comment