Thursday, December 3, 2015

Beautiful girl wake up!!

BEAUTIFUL GIRL!
      ★Stop running after that man.
You're to be valued,pursued and wooed.
★A person who really loves you,will never make you suffer,won't make your heart bleed in pain nor waste your time. .
    Girl. .You deserve
     ●STABILITY
      ●COMMITMENT &
        ●MARRIAGE

Hapa huwaga pagumu.Namuachaje wakati nampenda actually he is my everything. .he is all I have na machozi juu.Poor we girls Hata mimi nilitaka kufanya hili kosa..Asante kwa neema ya Mungu iliyonifungua macho..Hebu na  macho yako yafunguke leo.

    Mara nyingi tunapopenda hatutakagi kuguswa/kushauriwa..ha ha  tunakuwaga much know,so deaf and blind,tunaumizwa tupo tu,tunatukanwa tupo tu,ndoto zetu zinadidimia tupo tu,, wale wanaoona tusivyoona wakitushauri tunawaonaga kama wanoko hivi,wanatuonea gere na kizungu chetu hapo "me nimefall asikwambie mtu", am in love" kila lyrics za malavidavi utatupia hapo..Tunasahau jumla kama kuna MAISHA yaliyo zaidi ya uhusiano wenye miiba tunaolazimisha na kuubembeleza.Ndio hapo utaanza kufanya na yasiyofaa ili tu kijana asikuache ikiwa ni kumpa mwili wako haya..ikiwa ni kuhamia kwake haya na yasiyoweza au kutosha kuandika humu.

     Swali ni ...
★Unaiona kesho yako hapo na huyo kijana?
★Una furaha?
★Anakusukuma chanya kwenye ndoto na malengo yako kiroho,kimwili na kiakili?
Au unalazimisha?

Mungu akusaidie..akufungue macho uone hatima ya huo uhusiano..usijepoteza muda wako bure na kuandaa ndoa yenye machozi huku ukibaki kusema ningejua..ningejua na inakua too late..

Hata kama umeumia na kukosea bado una nafasi ya kuanza upya, ni wewe tu kupima kipi cha mhimu kwenye moyo na maisha yako.Kuanza upya si ujinga ikiwa unajua kule unakoelekea..Uzuri ni kuwa wanaume bora na wenye upendo wa dhati na heshima zao wapo tele.ukitulia na kumpa Mungu nafasi atakukutanisha naye.Ila hakikisha kabla ya kuanza mahusiano mapya umepona vidonda vyako vyotee na umepata muda wa kutosha. Sio afya sana kutoka hapa na kuingia pale ukiwa hujapata pumziko hata self assessment ya kipi kilishindikana awali  na kipi umejifunza na utakirekebisha.

Baby girl Mungu anakupenda..Nakuombea sana sana ufanye maamuzi sahihi kwa afya yako na ndoto zako pia. .keep shining you're a QUEEN
You can arise higher and shine brighter than your past..
Xoxo

No comments:

Post a Comment