Thursday, July 16, 2015

Fear not..God has handled your case

Umewahi kushuhudia mchezo wa Kriketi?ni mchezo unaohusisha magongo na mpira mdogomdogo hivii si mechi rahisi saaana lakini wenye mapenzi nao huakikisha hawakosi bila hata kujali /kuhofu kuwa vimpira au magongo hayo yakirushwa yanaweza kuwapiga/kuwajeruhi.
Itazame hii picha ni mtoto mzuri mdogo kwenye huo mchezo haogopi hata..japo uwanja umeshambuliwa kweli ila kapo TULII..
Beloved you're a child of God hakuna lenye hila/uharibifu litakalofanyika juu yako litakaloshinda..
Be this little girl..take or copy her MOOD..
Others are jumping ..frustrated but she is calm and with no worries. .
When others are running away/quitting from pain,troubles,failure caused by the environment or people STAY STRONGER&FRESH TO THE END.
YOU HAVE GOD..He is able to handle it appropriately more than you can ever imagine. .
Xoxo

No comments:

Post a Comment