Kwenye maisha hatuwezi kuishi peke yetu kama kisiwa tunahitaji watu.Ambao kwa bahati mbaya hatujichagulii lakini Mungu hutukutanisha nao kwa sababu na kusudi maalumu.Watu pekee ambao tunaweza kuwa na uhakika nao saana ni ndugu wa kuzaliwa nao.
Wengi tumefika hatua fulani kwenye maisha kwa sababu ya mkono wa msaada tuliopewa na tuliokutana nao kwa watu huo.Nilitazama kipindi cha mwanamuziki mkubwa sana Loyiso Bala akasema kwenye maisha yake hatua kubwa alizopiga ni kutokana na kusaidiwa na watu wengine hivyo haoni ugumu kumsaidia mtu mwingine.
Jifunze kuacha mwanga kwa mtu yeyote unayekutana nae si lazima msaada wa fedha.
●kumuonyesha upendo
●kumtia moyo
●kumshauri
Kunatosha sana kumuongezea hatua kwenye maisha yake.
Acha kuweka kivuli kwenye maisha ya wanaokuzunguka.Weka mwangaza ili nao wafurahie uwepo wao duniani.
The secret to success and more blessings is to put others ahead of us.Also treating them with love as we're planting a seed.

Go and be a blessing.
Xoxo
Xoxo
No comments:
Post a Comment