Wednesday, August 6, 2014

SEPTEMBER ndo twameet!!

Hellow friends!!mewamiss mnooooo...last time mewaaga hapana nikawa kimya..Nilibanwa na shule ambayo hatimaye imekwisha rasmi asante kwa kuniombea.
Sababu nyingine ilikuwa ni kupumzika kidogo ili mwili nao ukue na akili iimarike..kwa wale wa Facebook tulipeana dondoo chache kuwa ujio mpya ni September ambapo kutakua na sura mpya na vitu vipya.kaamaaa:-
√Ladies zone hapa mabinti patatuhusu..tutakuwa na kinamama waliofanikiwa, wenye hofu ya Mungu,ndoa za mfano watatupa uhalisia wa baadhi ya vitu.Pia hii itatuunganisha kwenye nafasi ya wewe binti kupokea inspiration texts kutoka kwangu..lengo ni kuwaandaa mabinti watakaokua wake na wamama wa mfano kwa jamii,familia na taifa huku tukileta kizazi chenye hofu ya Mungu na wazalendo kwa familia na taifa kiujumla..

√Mambo ya afya sasa yana mtaalamu haswaaa ambaye ni professional doctor atakayetujuza meengi...

Ambayo sijasema ni surprise kwako wewe follower wangu..asanteni nyote mnaoniombea na kunitia moyo na kunishauri.Yote yananisukuma kuwa bora.
Love y'all

No comments:

Post a Comment