Tuesday, May 13, 2014

Usafi...usafi...yees..usafi

Haya haya ni msimu ambao mvua zinanyeesha kwa wingi na katika maeneo mengi..Najua matope hayakukosi kwenye viatu mara utokapo mishughulikoni..Saa nyingine familia zenye watoto wadogo hawakawii kuingia nayo mpaka kwa choo..
Leo tukumbushane tu basi unapofika nyumbani si mbaya ukavishughulikia viatu au sendo hizo badala ya kuvibwaga wee mpaka siku inayofuata..
Na maeneo kama ya choo kujitahidi yawe safi kuepusha kinyaa na magonjwa mengine yasiyo na tija...
Love u all..

No comments:

Post a Comment