Shukrani za moyo zimfikie Mungu ambaye amekuwa msaada mnoo vingi ninavyoandika ni sehemu ya msaada wake kwenye maisha yangu binafsi namimi baada ya kusaidika huona si haba nikashea nanyi..Mungu amenipa uvumilivu nilivyoanza mpaka hapa ni msaada wake tu ni ngumu kugawa shule na blogu lakini mwaka sasa umefika naona neema yake..
Shukrani pia kwa wazazi wangu..Ayub &Emmy Nkya walikua,wamekua na watakua (i pray) msaada pia..mapenzi yao kwangu,maneno yao ya busara,maombi,zawadi,maonyo yamekua mchango kwenye hatua hii actually my dad used to give his phone nipost vitu vyangu huku when I was just starting.. wow..na mpaka sasa ni mmoja followers wangu ..
Shukrani kwa wadogo zangu Godlove,Daniel&Mercy..always supported I and calling me their Dr.Asha Rose Migiro and Joyce Meyer ha ha ha..asanteni wadogo zangu maombi na mawazo yenu yamekuwa sehemu ya furaha hii leo,hasa pale mliponisisitiza kujifunza kiswahili ili nisiposti kizungu tuuuu,, sasa naweza sisi ndio enhee!
Shukrani kwa rafiki zangu wooote kwa michango yenu iliyosukuma blogu hii..Tulioanza sote na tunaoendelea pamoja..Thanks too much guys...
Special thanks to my loving man(my soulmate)..and my bestfriend mnajijua...You two people are amazing asanteni sana.
Bila ya visitors hii blogu inakua haina kazi..asante kwenu nyote mnaoitembelea..mnanipa nguvu ya kuendelea kila mara..Mungu awajaze maradufu..naaaamiini tunaposonga mbele sitakosa kitu kwa ajili yenu maana naamini tunaombeana..
Wale mlionufaika na kumpokea Yesu kupitia huku endeleeni mbele na matunda ya kumfahamu na kumtegemea ni meengi mno..
Kwa mtu mwenye ndoto ya kuwa mtu yeyote au kufanya chochote INAWEZEKANA si mpaka uwe na pesa au watu wa kukuunga mkono..Penye nia pana njia..pale unapoanza kuchukua hatua na kuwa mvumilivu pesa zitakuja na wakukuunga mkono watajitokeza..Zaidi kumtegemea Mungu kutakufanya usiwe wa kukata tamaa na kutakufungulia milango mingi mnoo..
Jamaani nawapenda sana ni maombi yangu Mungu azidi kuwafanikisha kila eneo la maisha yenu.
You can visit www.soundcloud.com/BlessedNatalie Nkya kuna clip inaitwa My story utasikia nilianzaje na kila kitu Mungu akibariki will put here too.
......one Love......

Happy birthday Nkya God be with you to continue educating youth
ReplyDelete