Hata kama sote mawazo yetu yatafanana namna ya kuyafanikisha itakuwa tofauti..
Leo nizungumze na watu ambao ni multi-talented,wenye multiple ideas!kuwa na hivi vyote si dhambi lakini kwa jinsi gani utafanikiwa ndiyo jambo la msingi..!Wakati sijapata hatua kufanya hiki(blogging).nilijitahidi kwanza kutizama vile walio tangulia wanavyofanya na hata kuwa uliza maswali..
Siri ya kufanikiwa kwa wale Multi-Talented au wenye ndoto nyingi au bahati ya kuzalisha mawazo mapya kila siku ni...
√Planning..and
√Focusing..
Fanya tafiti kati ya vingi ulivyonavyo,kipi kianze??
ukisha kipata....
Weka nguvu,muda,busara na maarifa na kumshirikisha MUNGU mpaka jambo hilo limefanikiwa!!Then unaweza fanya na kingine..
Sio leo unaanza hiki...kesho kile...keshokutwa kipya...at the end of the end..ukifanya mchanganuo hakuna jambo lililofanyika na kuwa fanikio..
These 2words was told by my mentorSamuel Sasali last yrs vikanisaidia...
You too can!!
keep dreaming big and working Smart...

No comments:
Post a Comment