Monday, March 24, 2014

Refreshing times,Refresh our lives...
Refreshing times are here...
Huu ni wimbo wa Joyous Celebration 17...waweza kuutafuta pia..
Ukutie moyo kuwa pamoja na changamoto zoote Mungu atakupa nyakati za kukuburudisha..Ni tamko la Mungu kutuhusu kwenye neno lake kuhusu namna anavyotuwazia mema,anavyotuandalia utukufu mkuu baada ya changamoto tulizonazo..
Jiweke kwenye nafasi ya kupokea burudisho kwa mwaka huu..Binafsi sijui unapita kwenye jambo lipi gumu lakini nachojua NO situation is permanent!!! hayo yooote yatapita...
Daima napenda kuzungumza yale ninayojua Mungu anafanya kwa ushuhuda wangu binafsi au ninao fahamu Mungu amewatendea...
Inuka futa machozi..ANGALIA nini Mungu anasemaa juu ya maisha yako...

No comments:

Post a Comment