Hope you had a nice moments of the week!
Weekend hii tufanye usafi wa makopo ya kuogea,chooni na soap dishes,,
hii ni muhimu kiafya hasa kwa kina mama na watoto wadogo majumbani..
Tafuta steel wool au mchanga,sabuni na brashi au dodoki na ukiweza na maji ya moto then sugua
Mpaka ule utando wote utoke na Baada ya kusuuza anika...
Tayari kwa matumizi...
Itawaepusha na UTI na magonjwa mengine..
Nice weekend!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment