Friday, January 31, 2014

Swali?

Habari dada!!mimi ni binti ninaomba ushauri je kwenda kwa boyfriend na kumsaidia kufua/kuosha vyombo ni vibaya?

Haya ni baadhi ya maswali ninayopokea...
Wadau naomba nipate busara zenu kwanza
ingia kwenye profile yangu facebook Blessed Natalie Nkya au like Page yangu Blessednatalie'sblog toa maoni yako hapo... then tutakuja kuhitimisha huku kwa manufaa ya wasomaji wengine

No comments:

Post a Comment