ladies....
kuna vitu vinamiss na hatujavijua tu na ndio maana kila leo..tunakuwa wahanga wa fashion na hata mambo ya kuharibu ubinti na usichana wetu...
1.kutokujikubali-ni adui yetu mkubwa anayefanya tuparangane na kubadili rangi,kuongeza viungo bandia,kope nk...haya yote yameacha kansa na ulemavu kwa mabinti wengi but wengi wetu hatujifunzi,bado tunaendelea tu kufuata mkumbo..
hebu jikubali hivyo ulivyo,mwonekano wako ni muunganiko wa genes za wazazi wako sio rahisi hivyo kujibadili.Jifurahie wewe u msichana mrembo sana na jinsi hivyo ulivyo unavutia,pangilia tu mavazi yako na itunze hiyo ngozi ..
2.kutokuridhika na hali uliyonayo-huyu ni adui yetu pia,hakuna mtu anayependa shida kila mtu angependa kula kuku kwa mrija LAKINI unaweza kuvipata?iheshimu pesa unayopata kwa mzazi wako au mshahara wako kupitia well budgetting unaweza kula raha zote,hako kamhemko kakutaka usichonacho au usichoweza kupata ndio kinacholeta shida utaingia kwenye mambo ya kukupa fedha za chapchap zitakazokupa majuto na kukuharibia future.Nakumbuka nikiwa chuo some girls could just go and sleep to a man's home apate hela ya kutambishia wenzie,wengine walijiuza kabisa miili yao.
Ikiwa unasoma use that opportunity to effect your life for the betterment,uko kazini do the same.ukiwa na chako its better than desiring what is never in your ability.
3.kutokujitambua wewe ni nani na unataka nini out of this life ni adui yetu pia.tambua unachotaka katika maisha haya na ukisimamie kwa miguu miwili.Kila mtu ana ndoto na mipango yake katika maisha,ana aina ya mavazi na life style yake..jitambue unakotoka,ulipo na unapotaka kufika bila ya hivyo utakuwa bendera fata upepo.ukivuma huku unaenda..stand firm,stay focused usiyumbishwe.....
Kisses to you ladies ..
with God we are conquerers and world changers..
Friday, December 27, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment