Friday, December 13, 2013

Jinsi ya kuondokana na UPWEKE...

Upweke-ni hali ya kuwa peke yako huku ukitamani kuwa na watu wakushirikiana nao.
Njaa ikiuma huashiria kuwa chakula kinahitajika!vivyo hivyo upweke hutuhabarisha kutafuta kujichanganya(company)na wenzetu.
Hali hii huambatana na:-
*kujiona hufai.
*kujiona huwezi kutoa maoni yoyote ukiwa na baadhi ya watu kutokana na hali zao,waweza kuwa ni wenye pesa,majina makubwa,mwonekano mzurii n.k
*kushindikana kwa mambo fulani-kuachwa na mpenzi wako,kuachishwa kazi,kukosa mambo fulani unayotaka.
Haya yote na mengine yanatosha kukufanya ujiengue kwenye ushirika na wenzio.
Upweke unaweza kuwa wa muda mfupi au mrefu kutojana na namna utakavyoukabili.
kwa jinsi Mungu alivyotuumba hatuwezi kuendelea bila COMPANY na wanadamu wenzetu.Ni kama tunavyowasha moto ukitoa kile kijinga kinachowaka moto hupungua makali, vipi pale unapokirudishia???

JINSI ZA Kuushinda upweke:
1*punguza vitu vinavyokutenga na wenzio-kujifungia chumbani na muvi wee au muziki nk.

2*Jijali-kuna watu akiachwa au kukosa kazi anaacha kuoga,kuvaa vizuri,kula&kunywa vizuri.Changamka acha kujifungiaa na kujiweka rafu kuna milango mingine haiwezi kufunguka maana wewe mwenyewe umejikinai na kujikatia tamaa.k

3*badilisha mitizamo yako-acha kuwaona kuwa bora kuliko wewe,kule kuchokonoa kuziona tofauti zako wwe na wengine ndio kutakakokufanya uwakwepe na kuwakimbia wenzio!kama ni mwanafunzi ikiwa kila mara unasema hii sio kampani yangu kwanza wa wanapata A tu mimi makarai siwawezi au kazini kila mara unasema wale si ndio wanamagari mimi sina so siwezi toa point kwenye vikao ngoja nikae nao mbali.Anza kujiamini na kujifunza kutoka kwa hao wanaokuzunguka.

4*Fanya vitu vinavyokupa raha ukiwa na wenzio,kuwa mwenye kutengeneza mahusiano,tafuta watu wanaokuelewa wenye hisia positive nawe watakusaidia.

5*MUNGU ndio kila kitu kwenye sayari hii mshirikishe hisia zako kwa uwazi kamaunavyozungumzs na rafiki zako ,funguka yotee ikiwezekana kulia lia weee kikubwa utoe uchungu na dukuduku zote.(kumbukumbu la Torati 31:8)"it is the Lord who goes before you.HE will be with you;He will never leave you nor forsake you.Do not feat or be dismayed".
#weekend njema wapenda#
Love you all!!!
for advise&prayer SMS  0718664741

No comments:

Post a Comment