Na pia wakati tunafurahia na kushangaa uhamisho wa GARETH BALE kwenda REAL MADRID...
Najifunza kwamba ukitia bidii katika jambo lako unafika mbali sana.
Cheka hufanya mazoezi sana na amekiwa akifanya vizuri sana ktk kila pambano.
Gareth pia alijituma sana msimu wa ligi iliyopita alipokuwa England zilizowavuta real madrid kumsajili... kwenye maisha kuna mambo mengi na kila mmoja ana ndoto anazotaka kuzitimiza,kinachomfikisha mtu kileleni ni juhudi zinazotumika kwenye ndoto hizo!!!!!!!
Kwa hapa Tanzania wapo vijana wanao-insipire sana na ukiwapekua nini siri ,utagundua wana invest alot of their efforts kwenye vitu vyao.Waone vijana wenzetu hawa.....
SAMUEL SASALI~blogger,HR manager,public speaker ,MC,host wa Chomoza Clouds TV........ |
Mc Anthony Luvanda~MC,public speaker,very good in time management in any event He coordinates.... |
ROSE MUSHI~ an Economist,Author, Motivational and inspirational speaker....... |
No comments:
Post a Comment