Tuesday, February 4, 2014

Happy birthday Mama..

Namshukuru Mungu miaka mingi iliyopita uliamua kutupa zawadi ya mama..Ambaye leo kaongeza mwaka tena..
Happy birthday mama..
Zawadi ya kukufaa ukiachia hizi material..ni sisi kuyaishi yale uliyotufunza kila wakati..
Tunajiona wenye kupendelewa na Mungu kutoka kwenye tumbo lako..
Tunamshukuru baba yetu hakukosea you are our first beautiful and kind girl to meet on earth..we are happy mnoo..
Mungu akutunze na kukupa maisha marefu mama.






















No comments:

Post a Comment