"human beings are designed to expand energy continously hence they need a PULSE between expand and recovery energy"
....kwa hiyo ni lazima uhakikishe unapumzika kwa kuyafanya haya=>...
1.Hakikisha unapata muda mzuri wa kulala,hasa siku usizo na kazi wala shughuli yoyote,kwani kulala huko kutakupa afya,furaha,unakuwa stressfree,unakuwa more productive and creative too..
2.Upate muda wa kuwa mbali na simu au kifaa chochote cha mawasiliano kitakachofanya akili na mwili kuwa busy tena,maana hapo unataka kuupa pumzisho.so you unplug any social networking devices.
3.Pata wasaa wa kucheza mchezo wowote,huku ukiondoa dhana kuwa michezo ni ya watoto pekee,la hasha hata wewe waweza shiriki kwa sababu hii maalumu.
4.Jichanganye na marafiki kwa kubadilishana mawazo au kutembelea wanyama wako uwapendao,kuwapa chakula,kuwasafisha n.k....hii yote ni kuupa mwili nafasi ya kuupumzisha
If busiest people in the world still find time to relax what about me and you....Tujipange na ratiba zetu ili hata tunapofanikiwa tule mafanikio yetu bila magonjwa,haina maana kuwa bilionea halafu after a year of your success you died due to lack of enough rest.....
Much love to you all!!!!!and all the best to whatever you are doing
Kweli kabisa,asante kwa kutukumbusha!
ReplyDelete